Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoane 6:59 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

59 Yesu alisema maneno haya wakati alipokuwa akifundisha katika nyumba ya kuabudia kule Kapernaumu.

Gade chapit la Kopi




Yoane 6:59
8 Referans Kwoze  

Wakati walipoona kama Yesu hakukuwa pale wala wanafunzi wake, wakajiingilia ndani ya vyombo vile na kwenda Kapernaumu kumutafuta Yesu.


Yesu akamujibu: “Nilisema na watu wote waziwazi, nilifundisha siku zote katika nyumba za kuabudia na katika hekalu, pahali Wayuda wote wanapokutana. Sikusema kitu kwa uficho.


Halafu Yesu akaenda Kapernaumu, katika jimbo la Galilaya. Siku ya Sabato ilipotimia, akawafundisha watu.


Yesu alizunguka katika Galilaya yote akifundisha katika nyumba zao za kuabudia, akihubiri Habari Njema ya Ufalme. Aliponyesha watu waliokuwa na magonjwa yote na uzaifu wa kila namna.


Wakaingia ndani ya chombo, wakaanza kuvuka ziwa kwa kwenda Kapernaumu. Giza lilikuwa limekwisha kuwa, na Yesu alikuwa hajarudi kukutanana nao.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite