Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoane 21:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Yeye akawaambia: “Mutupe wavu upande wa kuume wa chombo na mutapata samaki.” Basi wakatupa wavu, nao wakashindwa kuukokota, kwa sababu ulikuwa umejaa samaki wengi.

Gade chapit la Kopi




Yoane 21:6
8 Referans Kwoze  

Siku ile watu waliosadiki mafundisho ya Petro, wakabatizwa. Na kadiri ya watu elfu tatu wakaongezeka katika kundi la wanafunzi.


Lakini wengi kati ya watu waliosikia mafundisho ya Petro na Yoane wakaamini. Kadiri ya watu elfu tano wakaongezeka katika kundi la waamini.


Halafu mama yake akawaambia watumishi: “Mufanye kila kitu atakachowaambia.”


Mvua ikanyesha, mito ikajaa, upepo ukavuma na kupiga nyumba ile, nayo ikaanguka na kubomoka kabisa.”


kondoo, ngombe, na nyama wa pori,


Wavuvi watasimama kandokando ya bahari, na nafasi toka Engedi mpaka Eni-Eglaimu itakuwa ya kuanikia nyavu. Kutakuwa aina nyingi za samaki kama zinavyokuwa katika bahari ya Mediteranea.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite