4 Asubui mapema, Yesu akaonekana kandokando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakutambua kwamba ni yeye.
Alipokwisha kusema maneno haya, akageuka nyuma, akamwona Yesu akisimama pale, lakini hakutambua kwamba ni yeye.
Halafu, macho yao yakafumbuliwa, wakamutambua. Lakini yeye akatoweka, nao hawakumwona tena.
Kisha, Yesu akawatokea wanafunzi wawili, akiwa na sura ingine. Wanafunzi hao walikuwa wanakwenda kwenye vijiji.
Ingawa Yosefu aliwatambua kaka zake, wao hawakumutambua.