Yoane 2:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
15 Basi akasokota kamba kuwa fimbo na kuwafukuza wote toka hekalu pamoja na kondoo na ngombe wao. Kisha akapindua meza za wenye kubadilisha feza na kuzimwanga chini.
Yule malaika akaniambia vilevile niseme neno hili la Yawe juu ya Zerubabeli: Hauwezi kushinda kwa nguvu au kwa uwezo wako mwenyewe, lakini kwa musaada wa roho wangu. –Ni Yawe wa majeshi anayesema.
Yesu akaingia ndani ya hekalu, naye akawafukuza watu wote waliokuwa wakiuzishia na kununulia vitu vyao ndani yake. Akapindua meza za wale waliobadilisha feza na viti vya wachuuzi wa njiwa.