Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoane 18:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

34 Yesu akajibu: “Unasema hivi kutokana na mawazo yako mwenyewe au watu wengine wamekuambia habari zangu?”

Gade chapit la Kopi




Yoane 18:34
3 Referans Kwoze  

Halafu Pilato akarudi ndani ya nyumba, akamwita Yesu na kumwuliza: “Wewe ni mufalme wa Wayuda?”


Pilato akajibu: “Mimi si Muyuda. Watu wa taifa lako na wakubwa wa makuhani ndio waliokuleta kwangu. Umefanya nini?”


Akaingia tena katika nyumba yake na kumwuliza Yesu: “Wewe ni muzaliwa wa wapi?” Lakini Yesu hakumujibu neno.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite