Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Yoane 11:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

30 (Yesu alikuwa hajaingia bado katika kijiji, alikuwa angali pahali Marta alipomukuta.)

Gade chapit la Kopi




Yoane 11:30
3 Referans Kwoze  

Marta aliposikia kama Yesu anakuja, akaenda kumupokea katika njia, lakini Maria alibaki ndani ya nyumba.


Marta alipokwisha kusema maneno hayo, akaenda kumwita dada yake Maria na kumwambia kwa siri: “Mwalimu amekuja, na anakuita.”


Wakati Maria aliposikia hivi, akaondoka upesi kwenda kumukuta.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite