Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Walawi 8:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10 Kisha Musa akatwaa mafuta ya kupakaa, akaipakaa ile hema na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake akavitakasa.

Gade chapit la Kopi




Walawi 8:10
4 Referans Kwoze  

Utwae Haruni na wana wake na zile nguo takatifu, mafuta ya kupakaa, ngombe wa sadaka kwa ajili ya zambi, kondoo dume wawili, na kitunga cha mikate isiyotiwa chachu.


Hiyo ndiyo sehemu iliyotengwa kwa ajili ya Haruni na wana wake kutoka katika sadaka Yawe anazotolewa kwa moto, tangu siku walipowekwa kuwa makuhani wa Yawe.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite