Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Walawi 4:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 figo mbili na mafuta yanayokuwa juu yake na yale yanayokuwa kwenye kiuno na yale yanayoshikamana na figo na maini.

Gade chapit la Kopi




Walawi 4:9
3 Referans Kwoze  

Atatoa vilevile zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya maini.


Halafu utatwaa mafuta yote yanayofunika matumbotumbo, sehemu bora ya maini pamoja na figo mbili na mafuta yake, uviteketeze vyote juu ya mazabahu.


Hizi ni sehemu zilezile zinazoondolewa kwa nyama wa sadaka ya amani. Kuhani ataziteketeza juu ya mazabahu ya kuteketezea sadaka.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite