Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Waefeso 1:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Ninawatakia neema na amani toka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.

Gade chapit la Kopi




Waefeso 1:2
5 Referans Kwoze  

Ninawaandikia ninyi wote wapenzi wa Mungu munaokaa Roma, mulioitwa kuwa watu wake watakatifu. Ninawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.


Ninakutumia barua hii, wewe Tito, mwana wangu wa kweli katika imani tunayoshiriki pamoja. Ninakutakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo Mwokozi wetu.


Tunawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Bwana wetu Yesu Kristo.


Tunawatakia neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.


Asifiwe Mungu, Baba ya Bwana wetu Yesu Kristo! Yeye ndiye aliyetupatia baraka za kiroho za kila namna kutoka katika eneo la mbingu kwa njia ya kuungana kwetu na Kristo.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite