Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Waebrania 10:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 Kisha akasema: “Mimi niko hapa, ee Mungu, nimekuja kufanya mapenzi yako.” Kwa hiyo Mungu ameondoa hizo sadaka zote za kwanza na kuzikomboa na Kristo mwenyewe kama sadaka.

Gade chapit la Kopi




Waebrania 10:9
7 Referans Kwoze  

Halafu nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, nimekuja kufanya mapenzi yako, kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha Sheria.’ ”


Wewe hautaki sadaka za kuteketezwa kwa moto wala matoleo, sadaka za nyama za kuteketezwa wala za kusamehewa zambi, lakini umenipa masikio nikusikie.


Halafu nikasema: “Ninakuja. Katika kitabu imeandikwa juu yangu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite