Ufunuo 14:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikinguruma kama uvumi wa maporomoko ya maji mengi na kama ngurumo kubwa ya radi. Sauti ile ilisikilika kama vile sauti ya wapiga vinubi wakati wanapopiga vinubi vyao. Gade chapit la |