Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Ufunuo 10:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10 Basi nikatwaa kitabu kile kidogo toka katika mukono wake, nikakikula. Kikakuwa kitamu kama asali ndani ya kinywa changu, lakini wakati nilipokimeza, nikasikia uchungu ndani ya tumbo langu.

Gade chapit la Kopi




Ufunuo 10:10
9 Referans Kwoze  

Halafu akaniambia hivi: Wewe mwanadamu, kula kizingo hiki ninachokupa, ujaze tumbo lako na kulishibisha. Basi, nikakikula, nacho kikakuwa kitamu ndani ya kinywa changu kama vile asali.


Maneno mazuri ni kama asali. Ni matamu kwa nafsi na yenye kuupatia mwili afya.


Maagizo yako ni matamu sana kwangu; ni matamu kuliko asali!


Upendezwe na hayo mashairi yangu, ee Yawe, maana wewe ndiye furaha yangu.


Kumutii Yawe ni jambo jema; kunadumu milele. Maagizo ya Yawe ni sawa, yote ni ya haki kabisa.


Basi, Roho akaninyanyua juu na kunipeleka mbali. Yawe alinijaza uwezo wake. Nami nikaenda nikiwa na uchungu na hasira katika roho yangu.


Basi akakikunjua mbele yangu, nacho kilikuwa kimeandikwa mbele na nyuma maneno ya maombolezo, kilio na hasara.


Nami nikaenda karibu na yule malaika, nikamwomba anipe kile kitabu kidogo. Naye akaniambia: “Ukitwae na ukikule, kitakuwa uchungu katika tumbo lako, lakini kitakuwa kitamu kama asali ndani ya kinywa chako.”


Kisha wakaniambia: “Imekupasa kutoa unabii tena kwa jamaa, kwa mataifa, kwa watu wa kila luga na kwa wafalme wengi.”


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite