Ufunuo 10:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Kisha nikaona malaika mwingine mwenye uwezo akishuka toka mbinguni. Alikuwa akifunikwa na wingu, naye alikuwa na upindi wa mvua juu ya kichwa chake. Uso wake ulingaa kama jua na miguu yake ilimetameta kama nguzo ya ndimi za moto. Gade chapit la |