Halafu adui yangu ataona hayo naye atafunikwa na haya; maana aliniambia: Basi Yawe, Mungu wako, yuko wapi? Mimi mwenyewe nitamwona adui akianguka; atakanyagwakanyagwa chini kama matope katika njia.
ufalme zaifu kuliko falme zote; wala hawataweza kujipandisha juu ya mataifa mengine. Nitawafanya Wamisri wakuwe watu zaifu hata wasiweze kuyatawala mataifa mengine tena.