Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Nehemia 8:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

13 Kesho yake, wakubwa wa ukoo pamoja na makuhani na Walawi wakakusanyika kwa Ezra mwandishi, kwa kujifunza Sheria.

Gade chapit la Kopi




Nehemia 8:13
13 Referans Kwoze  

Anayependa mafundisho anapenda maarifa, lakini asiyependa kuonywa ni mujinga.


Paulo na Barnaba walipotoka ndani ya ile nyumba ya kuabudia, watu wakawasihi warudie tena kuwaelezea maneno yale yale kwa siku ya Sabato iliyofuata.


Petro na Yoane walipokuwa wangali wakisema mbele ya watu, makuhani, mukubwa wa walinzi wa hekalu pamoja na Wasadukayo wakafika.


Basi wakasemezana: “Mioyo yetu ilichangamuka sana wakati alipokuwa akisimulia nasi katika njia na kutuelezea Maandiko Matakatifu.”


watu waliamua kwa shauri moja kuendelesha sherehe kwa muda wa siku saba zaidi. Basi wakaendelea kusherehekea kwa furaha kubwa kwa muda wa siku saba zaidi.


Watu wote wakarudi kwao kwa kula na kunywa, wakifurahi na kuwagawanyia wengine chakula kwa sababu walielewa yote waliyotangaziwa.


Wakagundua kwamba, imeandikwa katika kitabu cha Sheria kuwa Yawe alimwamuru Musa, kwamba watu wanapaswa kukaa katika vibanda wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite