Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Nehemia 7:39 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

39 Hii ndiyo hesabu ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;

Gade chapit la Kopi




Nehemia 7:39
5 Referans Kwoze  

Hii ndiyo jumla ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: wa ukoo wa Yedaya waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;


wa muji wa Sena: elfu tatu mia tisa na makumi tatu.


wa ukoo wa Imeri: elfu moja na makumi tano na wawili;


Na katika miji mingine, watu wa Israeli, makuhani, Walawi, walinzi wa milango na wazao wa watumishi wa Solomono, walikaa katika maeneo yao wenyewe, katika miji yao.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite