Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Nehemia 3:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Sehemu inayofuata pamoja na Munara wa Furu vilijengwa upya na Malkiya, mwana wa Harimu akishirikiana na Hasubu mwana wa Pahati-Moabu.

Gade chapit la Kopi




Nehemia 3:11
10 Referans Kwoze  

Kundi lingine lililoimba nyimbo za shukrani lilielekea upande wa kushoto juu ya ukuta. Mimi nikafuatana na kundi hili pamoja na nusu ya watu. Tukapitia kwenye Munara wa Furu mpaka kwenye Ukuta Mupana.


wa ukoo wa Pahati-Moabu, maana yake wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane kumi na wawili;


ukoo wa Pahati-Moabu, ni kusema wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane na kumi na wanane;


Wazao wa Harimu: Eliezeri, Isia, Malkia, Semaya, Simeoni,


Sehemu inayofuata, inayoelekeana na nyumba yake ikajengwa upya na Yedaya mwana wa Harumafu. Sehemu inayofuata ikajengwa upya na Hatusi mwana wa Hasabunia.


Watu wa Sayuni wafurahi! Watu wa Yuda washangilie, kwa sababu ya hukumu yako ya haki!


wa muji wa Harimu: mia tatu na makumi mbili;


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite