Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Nehemia 13:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

8 Nikakasirika sana na nikavitupilia inje vyombo vyote vya Tobia.

Gade chapit la Kopi




Nehemia 13:8
7 Referans Kwoze  

Nimekuwa mugeni kwa wandugu zangu, kaka na dada zangu hawanitambui.


Wakati Ezra alipokuwa anaomba na kuungama naye akilia na kujiangusha uso mpaka chini mbele ya nyumba ya Mungu, kundi kubwa la watu wa Israeli, wanaume, wanawake na watoto, wakakusanyika karibu naye wakilia kwa uchungu mwingi.


Nikaamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo halafu nikarudisha mule vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka ya unga na ubani.


Niliposikia malalamiko yao, nikakasirika sana.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite