Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Nehemia 11:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

15 Nao Walawi waliokaa katika Yerusalema walikuwa: Semaya mwana wa Hasubu mwana wa Azirikamu mwana wa Hasabia, na mwana wa Buni.

Gade chapit la Kopi




Nehemia 11:15
4 Referans Kwoze  

Salumu mwana wa Kore mwana wa Ebiasafu, pamoja na wandugu zake wa ukoo wa Kora, walikuwa na kazi ya kutunza viingilio vya hema la mukutano, kama vile babu zake walivyokuwa wakati wa ulinzi wa kambi ya Yawe.


Hawa ndio Walawi walioishi Yerusalema: Semaya, mwana wa Hasubu mwana wa Azirikamu mwana wa Hasabia, wa ukoo wa Merari;


pamoja na wandugu zao; wote wakiwa mia moja makumi mbili na wanane, watu mashujaa. Na mukubwa wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu.


Sabetayi na Yozabadi, wakubwa wa ukoo wa Walawi, walikuwa wasimamizi wa kazi za inje ya nyumba ya Mungu,


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite