Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Nehemia 10:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10-14 Walawi: Yesua mwana wa Azania, Binui wa uzao wa Henadadi, Kadimieli na wandugu zao: Sebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Mika, Rehobu, Hasabia, Zakuri, Serebia, Sebania, Hodia, Bani, Beninu.

Gade chapit la Kopi




Nehemia 10:10
10 Referans Kwoze  

Walawi hawa ndio walisaidia kuwaelewesha watu Sheria: Yesua, Bani, Serebia, Yamini, Akubu, Sabetayi, Hodia, Maasea, Kelita, Azaria, Yozabadi, Hanani na Pelaya; na kila mumoja akiwa akisimama pale alipokuwa.


Kati ya Walawi kulikuwa: Yozabadi, Simei, Kelaya (aliyejulikana pia kwa jina la Kelita), Petahia, Yuda na Eliezeri.


Hodia akaoa dada ya Nahamu ambaye wazao wake ndio waanzilishi wa: kabila la Garmi, lililoishi katika muji wa Keila; na kabila la Makati, lililoishi katika muji wa Estemoa.


Katika siku ya ine, tukiwa ndani ya nyumba ya Mungu wetu, tukapima ile feza, zahabu na vile vyombo, kisha tukavipatia kuhani Meremoti mwana wa Uria. Meremoti alikuwa pamoja na Eleazari mwana wa Finehasi, na Walawi wawili, Yozabadi mwana wa Yesua, na Noadia mwana wa Binui.


Kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka kwenye pembe ya ukuta ikajengwa upya na Binui mwana wa Henadadi.


Walawi wa ukoo wa Yesua, ni kusema Kadimieli, wazao wa Hodavia waliorudi kutoka katika uhamisho walikuwa makumi saba na wane.


Walawi walikuwa: Yesua, Binui, Kadimieli, Serebia, Yuda na Matania, ambaye alishugulika na usimamizi wa nyimbo za shukrani akishirikiana na ndugu zake.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite