Mwanzo 3:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kisha Yawe akamwambia nyoka: “Kwa sababu umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko nyama wote wa kufugwa, na kuliko nyama wote wa pori. Utatambaa kwa tumbo lako na kula mavumbi siku zote za maisha yako. Gade chapit la |