Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Mwanzo 10:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

4 Wana wa Yavani walikuwa Elisa, Tarsisi, Kitimu na Rodanimu.

Gade chapit la Kopi




Mwanzo 10:4
10 Referans Kwoze  

Mashua kutoka Kitimu zitamushambulia, naye atashikwa na hofu. Kisha atarudi nyuma akiwa amejaa hasira na kuvunja agano takatifu. Halafu atafuata shauri la wale walioasi agano takatifu.


Alisema: Ewe binti Sidona, hautaweza kufanya sherehe tena; hata ukikimbilia Kipuro, kule nako hautapata pumziko!


Ujumbe wa Mungu juu ya Tiro. Muomboleze, enyi mashua makubwa za kutoka Tarsisi. Kivuko na muji wenu vimeharibiwa. Mutapokea habari hizo mutakaporudia kutoka Kipuro.


Mashua zitafika kutoka Kitimu, wataishambulia Asuria na Eberi, lakini nao vilevile wataangamia milele.


Mashua makubwa za Tarsisi ndizo zilikusafirishia vitu vyako. Basi wewe ulikuwa umejaa vitu kama vile mashua katikati ya bahari.


Watu wa Tarsisi walifanya biashara nawe kwa sababu ya utajiri wako mwingi na wa kila namna. Walitoa feza, chuma, bati, na risasi kwa kupata biashara yako.


Kutokana na hawa visanga vya watu wa mataifa mengine vikagawanywa kwa inchi zao, kila watu kwa luga yao, kwa jamaa zao, kufuatana na mataifa yao.


Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarsisi, Kitimu na Roda.


Walitwaa miti ya mialo toka Basani wakakuchongea makasia; walikutengenezea mbao za kuikalia kwa miti ya misunobari ya kisanga cha Kipuro, na kuipamba kwa pembe ya tembo.


Kitani kilichopindwa vizuri kutoka Misri kilikuwa kwa kupamba tanga lako na kwa ajili ya bendera yako. Chandarua chako kilitengenezwa na nguo ya rangi ya samawi na nyekundu-nyeusi kutoka visanga vya Elisa.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite