Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Mezali 20:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10 Mizani danganyifu na vipimo danganyifu, vyote ni chukizo kwa Yawe.

Gade chapit la Kopi




Mezali 20:10
10 Referans Kwoze  

Mizani danganyifu ni chukizo kwa Yawe, na vipimo visivyokuwa vya haki ni kitu kibaya.


Mizani danganyifu ni chukizo kwa Yawe, lakini matumizi ya vipimo vya haki ni furaha kwake.


Mizani na vipimo vya kweli ni vya Yawe. Mawe yote ya kupimia katika mufuko ni kazi yake.


Usikose kuamua kwa haki juu ya vipimo vya urefu, uzito na ujazo.


Lakini watu wenye woga, wasioamini, wenye machukizo, wauaji, wazinzi, wachawi, wanaoabudu sanamu na wote wanaosema uongo, fungu lao ni katika lile ziwa la moto na ndani ya mawe ya kiberiti yanayowaka moto. Hiki ndicho kifo cha pili.”


Munapaswa kutumia mizani ya kweli na vipimo vinavyokuwa vya kweli. Mimi ni Yawe, Mungu wenu, niliyewatoa katika inchi ya Misri.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite