Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Matayo 26:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

34 Yesu akamujibu: “Kweli ninakuambia kwamba katika usiku huu, mbele jogoo hajawika utakuwa umenikana mara tatu.”

Gade chapit la Kopi




Matayo 26:34
7 Referans Kwoze  

Yesu akamujibu: “Hakika wewe ni tayari kutoa maisha yako kwa ajili yangu? Kweli, kweli ninakuambia: mbele jogoo hajawika, utakuwa umekwisha kunikana mara tatu.”


Yesu akamujibu: “Ninakuambia wewe Petro kwamba leo, mbele jogoo hajawika utakuwa umenikana mara tatu kuwa haunijui.”


naye Petro akakumbuka maneno yale Yesu aliyomwambia kwamba mbele jogoo hajawika, atakuwa amemukana mara tatu. Basi akatoka inje, akalia kwa uchungu sana.


Petro akamujibu: “Hata wote wakianguka, mimi sitaanguka hata kidogo.”


Mara moja jogoo akawika kwa mara ya pili, na Petro akakumbuka maneno yale Yesu aliyomwambia kwamba mbele jogoo hajawika mara mbili, atakuwa amemukana mara tatu. Basi akaanza kulia.


Bwana akageuka na kumwangalia Petro. Petro akakumbuka maneno yale Bwana aliyomwambia kwamba mbele jogoo hajawika atakuwa amemukana mara tatu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite