1 Katika siku zile Yesu akapita katika mashamba ya ngano kwa siku moja ya Sabato. Wanafunzi wake wakasikia njaa; kwa hiyo wakaanza kuchumachuma masuke ya ngano na kuyakula.
“Ukipitia katika shamba la muzabibu la mwenzako unaweza kula zabibu kadiri unavyoweza, lakini usichume na kupeleka zabibu zozote katika kikapu chako.