39 Wanapenda vilevile kuikaa katika viti vya mbele ndani ya nyumba za kuabudia na kwenye nafasi za heshima katika karamu.
Halafu Yesu akawaambia makundi ya watu na wanafunzi wake:
Wanapenda kuikaa kwenye nafasi za heshima katika karamu na katika viti vya mbele ndani ya nyumba za kuabudia.
Katika mafundisho yake aliwaambia: “Mujiepushe na walimu wa Sheria, wanaopenda kujitembeza wakivaa kanzu ndefu, na kusalimiwa kwa heshima kwenye nafasi ya makutano.
Wananyanganya mali ya wajane na kuomba maombi marefu kusudi waonekane mbele ya watu. Kwa sababu hii watahukumiwa vikali sana!”