Marko 11:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 Kisha wakafika Yerusalema. Yesu alipoingia ndani ya hekalu, akaanza kufukuza watu waliokuwa wakiuzishia na kununulia vitu vyao ndani ya hekalu. Akapindua meza za wale waliobadilisha feza na viti vya wachuuzi wa njiwa. Gade chapit la |