Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Maombolezo 3:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 Amezifunga njia zangu kwa mawe makubwa, amepotosha mapito yangu.

Gade chapit la Kopi




Maombolezo 3:9
6 Referans Kwoze  

Ee Yawe, mbona unatukosesha njia zako? Mbona unaifanya mioyo yetu kuwa migumu hata tusikuogope? Urudie, ee Mungu, kwa ajili ya watumishi wako, makabila ambayo yalikuwa mali yako siku zote.


Na watoto wake sitawahurumia, maana ni watoto wa uzinzi.


Alinifukuza katika njia yangu, akanirarua na kuniacha ukiwa.


Pumzi yake ni kama mafuriko ya muto ambao maji yake yanafika mpaka kwenye shingo. Anakuja kupepeta mataifa kwa lungo ya maangamizi, kuwafunga lijamu na kuwapeleka wasikotaka.


Njia yangu ameiziba kwa ukuta kusudi nisipite, njia zangu amezitia giza.


Alikuwa kwangu kama dubu anayevizia, kama simba katika maficho.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite