Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Maombolezo 3:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

7 Amenizungushiia ukuta na siwezi kutoka, amenifunga kwa minyororo mizito.

Gade chapit la Kopi




Maombolezo 3:7
11 Referans Kwoze  

Njia yangu ameiziba kwa ukuta kusudi nisipite, njia zangu amezitia giza.


Kwa nini kumujalia uzima mutu ambaye njia zake zimefungwa, mutu ambaye Mungu amemwekea kizuizi?


Na watoto wake sitawahurumia, maana ni watoto wa uzinzi.


Aliyahesabu makosa yangu yote akayakusanya pahali pamoja; aliyafunga katika shingo langu kama nira, nikafyonzwa nguvu zangu kwa uzito wake. Yawe aliniweka katika mikono ya watu ambao siwezi kuwapinga.


Basi! Leo ninafungua minyororo toka mikono yako. Kama unaona ni vizuri kwenda pamoja nami mpaka Babeli, basi tuende pamoja; mimi nitakutunza vizuri. Lakini kama unaona si vizuri kwako kwenda pamoja nami mpaka Babeli, basi, usikuje. Ujue kwamba unaweza kwenda popote katika inchi hii. Basi kwenda kwenye unaona ni vizuri kwenda.


Basi, wakamutwaa Yeremia wakamutia katika kisima cha Malkia mwana wa mufalme ambacho kilikuwa katika kiwanja cha walinzi. Walimushusha Yeremia ndani kwa kamba. Ndani ya kisima hicho hamukukuwa maji lakini matope, naye Yeremia akazama katika matope.


Hasira yako imenilemea; umenisonga kwa zoruba yako yote.


Umetimiza yale uliyosema utatutendea sisi pamoja na watawala wetu kwa kuuazibu Yerusalema vikali zaidi ya muji mwingine wowote katika dunia.


Tunalazimishwa kufanya kazi kama punda, tumechoka, lakini haturuhusiwi kupumzika.


Amezifunga njia zangu kwa mawe makubwa, amepotosha mapito yangu.


Umewafanya warafiki zangu waniepuke, umenifanya kuwa chukizo kwao. Nimefungwa wala siwezi kutoroka.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite