Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Maombolezo 3:63 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

63 Wakiikaa au wakienda, ni mimi ndiye wanayemuzomea.

Gade chapit la Kopi




Maombolezo 3:63
4 Referans Kwoze  

Nimekuwa kitu cha kuchekelewa kwa watu wote, muchana kutwa nimekuwa mutu wa kuzomewa.


Nikiikaa au nikisimama, wewe unajua; wewe unajua kila kitu ninachofikiri juu yake.


Na sasa wamenitungia wimbo wa kunizomea, nimekuwa kitu cha kuchekesha kwao.


Nimekuwa kichekesho kwa watu katika barabara; walevi wanatunga nyimbo juu yangu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite