Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Maombolezo 3:60 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

60 Umeuona uovu wa waadui zangu, na mipango yao yote juu yangu.

Gade chapit la Kopi




Maombolezo 3:60
5 Referans Kwoze  

Uliuona uovu niliotendewa, ee Yawe; uniamulie kwa wema maneno yangu.


Lakini wewe unawaona wenye taabu na shida; nawe uko tayari kuwasaidia siku zote. Muzaifu anakutegemea wewe, ee Mungu, wewe umekuwa siku zote musaada wa yatima.


Umesikia matukano yao, ee Yawe, na mipango yao yote juu yangu.


Lakini wewe, ee Yawe, unajua mashauri yao ya kuniua. Usiwasamehe uovu wao, wala kufuta zambi zao. Waanguke chini mbele yako; uwapige wakati wa hasira yako.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite