Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Maombolezo 3:43 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

43 Umejifunika hasira yako na kutufuatilia, ukatuua bila huruma.

Gade chapit la Kopi




Maombolezo 3:43
12 Referans Kwoze  

Maiti za vijana na wazee zimelala ndani ya mavumbi katika barabara, wabinti na vijana wangu wameuawa kwa upanga; umewaua bila huruma siku ya hasira yako.


Yawe amefanya yale aliyokusudia, ametimiza yale aliyoagiza. Kama alivyopanga tangu kale, ameangamiza bila huruma yoyote. Amewafanya waadui wafurahie azabu yako, amewatukuza mashujaa wa waadui zako.


Uwafuatilie kwa hasira na kuwaangamiza toka katika dunia.


Kama vile moto unavyoteketeza pori, na ndimi za moto zinavyounguza milima,


Kwa upande wangu, sitawaachilia wala kuwahurumia; nitawatendea kufuatana na matendo yao.


Kwa sababu ya mambo hayo watasikia uzito wa kasirani yangu. Sitamwacha hata mutu mumoja aponyoke wala sitamwonea huruma mutu yeyote. Hata wakinililia kwa sauti kubwa mimi sitawasikiliza.


Sitawaachilia wala sitawaonea huruma. Nitawaazibu kulingana na mienendo yenu nayo machukizo yangali bado kati yenu. Halafu mutatambua kwamba ni mimi Yawe ninayewaangamiza.


Hatujakuasi wewe, wala hatujaiacha njia yako.


Ee Yawe, Mungu wa majeshi, mpaka wakati gani utakasirikia maombi ya watu wako?


Ingawa ninaita na kuomba musaada anazuiza maombi yangu yasimufikie.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite