30 Lakini yeye akapita katikati yao, na kujiendea.
Wakajaribu tena kumufunga Yesu, lakini akawaponyoka.
Kwa ajili ya hii, wakaokota mawe kwa kumutupia. Lakini Yesu akajificha na kutoka ndani ya hekalu.
Kulipokucha, waaskari wakapigwa na hofu sana. Wakaanza kuulizana: “Jambo gani lililomupata Petro?”
Halafu Yesu akaenda Kapernaumu, katika jimbo la Galilaya. Siku ya Sabato ilipotimia, akawafundisha watu.