Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Luka 23:49 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

49 Na wote waliojuana sana naye, na hata wanawake waliomufuata tangia Galilaya, walisimama kwa mbali wakiangalia mambo hayo.

Gade chapit la Kopi




Luka 23:49
12 Referans Kwoze  

pamoja na wanawake wamoja ambao alikuwa ameondosha pepo ndani yao na magonjwa mengine. Kati ya wale wanawake kulikuwa Maria (aliyeitwa wa Magdala), aliyekuwa ameponyeshwa pepo saba;


Moyo wangu unapigapiga, nguvu zimeniishia; hata macho yangu nayo yamekwisha fifia.


Wale wanawake waliokuja na Yesu tangia Galilaya walimufuata Yosefu, wakaona kaburi na namna maiti ya Yesu ilivyowekwa mule.


Kundi kubwa la watu walimufuata. Kati yao kulikuwa wanawake waliokuwa wakijipigapiga kwenye kifua kwa huzuni na kumulilia.


Maria wa Magdala na Maria mama ya Yose walikuwa wakiangalia, pahali walipomuzika Yesu.


Roho yangu inaporegea kabisa, yeye yuko, anajua mwenendo wangu. Waadui wamenitegea mitego katika njia ninayopita.


Yananizunguka kama mafuriko muchana kutwa; yananizunguka yote pamoja.


Maria wa Magdala na yule Maria mwingine walikuwa wakiikaa pale, kuelekea kwenye kaburi.


Mungu amewaweka wandugu zangu mbali nami; warafiki zangu wakubwa wamenitoroka kabisa.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite