Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Isaya 33:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 Kwa kishindo cha sauti yako watu wanakimbia; unaposimama tu, mataifa yanatawanyika.

Gade chapit la Kopi




Isaya 33:3
13 Referans Kwoze  

Mungu yuko katika muji huo, nao hauwezi kutikiswa; Mungu ataupatia musaada kila asubui.


Mungu wangu mwema sana atakuwa mbele yangu, ataniwezesha kuwaona waadui zangu wameshindwa.


Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano.


Waadui zao wanakusanya vitu walivyonyanganya, wanavirukia kama mapanzi.


Basi, wewe Yeremia utatabiri maneno haya yote juu yao, na kusema hivi: Yawe atanguruma kutoka juu, atatoa sauti yake kutoka kwenye makao yake matakatifu; atanguruma kwa nguvu kwa ajili ya watu wake, atapiga kelele kama wenye kukamua zabibu, kwa ajili ya wakaaji wote wa dunia.


Vishindo hivyo vitasikilika mpaka mwisho wa dunia, maana Yawe ana mashitaki juu ya mataifa; anawahukumu wanadamu wote, naye atawaua waovu kwa upanga! –Ni ujumbe wa Yawe.


Mungu asimame sasa, na waadui zake watawanyike! Wanaomuchukia wakimbie mbali naye!


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite