Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Isaya 18:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Yote yataachiwa ndege wa milima na nyama wengine wa pori. Ndege wakali watakaa humo wakati wa jua, na nyama wa pori watafanya makao humo wakati wa baridi.

Gade chapit la Kopi




Isaya 18:6
12 Referans Kwoze  

Maiti za watu hao zitakuwa chakula cha ndege na nyama wa pori, na hapatakuwa mutu atakayewafukuza.


Nimeamua kuleta aina ine za maangamizi juu yao: upanga kwa kuwaua, imbwa kwa kuwararua, ndege na nyama wa pori kwa kuwakula na kuwamaliza.


Enyi nyama wote wakali, nanyi nyama wote wa pori, mukuje mukule.


Lakini wewe umetupwa inje ya kaburi lako, kama mutoto wa kuchukiza aliyezaliwa mufu, kama maiti ambayo imekanyagwakanyagwa. Umelundikiwa maiti za waliouawa kwa upanga, waliotupwa ndani ya mashimo penye mawe.


(Ni Wakaldea, wala si Waasuria, waliowaacha nyama wa pori waushambulie muji wa Tiro. Wao ndio waliouzungushia muji huo minara ya kuushambulia, wakabomoa nyumba zake na kuufanya mabomoko.)


Ninamwita tai wangu kutoka mashariki, ambaye atatimiza kusudi langu toka inchi ya mbali. Mimi nimesema na nitafanya; mimi nimepanga nami nitatimiza.


Hao watakufa kwa magonjwa makali, na hakuna atakayeomboleza juu yao wala kuwazika. Maiti zao zitabaki kama vile mboleo juu ya udongo. Wataangamia kwa vita na kwa njaa; na maiti zao zitakuwa chakula cha ndege na nyama wa pori.


Ndege wote watatua juu ya mabaki yake na nyama wote wa pori watakanyaga matawi yake.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite