Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Hosea 8:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

12 Hata kama ningewaandikia sheria zangu mara nyingi, wao wangeziona kuwa kitu cha kigeni tu.

Gade chapit la Kopi




Hosea 8:12
14 Referans Kwoze  

Basi Sheria yenyewe ni takatifu na amri ni takatifu, ya haki na nzuri.


Basi kuna faida gani kuwa Muyuda? Na kutahiriwa kuna mafaa gani?


Watu wangu wameangamia kwa kutonijua, maana wewe kuhani umekataa mafundisho. Nimekukataa kuwa kuhani wangu. Kwa maana umeisahau sheria ya Mungu wako, nami vilevile nitawasahau watoto wako.


Niliwapa masharti yangu na kuwafundisha maagizo yangu ambayo mutu akiyafuata ataishi.


Watu hawa ni waasi, watoto wasioaminiwa; watu wasiopenda kusikia mafundisho ya Yawe.


Nimekuandikia misemo makumi tatu, misemo ya maonyo na maarifa,


Uyafungue macho yangu, nipate kuona maajabu ya sheria yako.


Wewe unachukia maonyo, na maneno yangu haupendi kuyafuata.


Lakini hawakukuwa waaminifu kwako. Wakakuasi, wakaacha sheria yako na kuwaua manabii waliowaonya kusudi wakurudilie wewe. Wakatenda zambi kubwa mbele yako.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite