Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Hosea 5:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

12 Hivyo mimi Mungu niko kama nondo kwa Efuraimu, kama kidonda kibaya kwa watu wa Yuda.

Gade chapit la Kopi




Hosea 5:12
8 Referans Kwoze  

Maana watakuliwa na nondo kama vile nguo; vidudu watawakula kama wanavyokula nguo ya manyoya ya kondoo. Lakini ukombozi ninaouleta mimi utadumu milele; wokovu wangu hautakuwa na mwisho.


Nami ninaisha kama muti uliooza, kama nguo iliyokuliwa na nondo.


Lakini kesho yake kulipopambazuka, Mungu akaamuru mududu uharibu mumea huo. Ukanyauka.


Angalia Bwana wetu Yawe ananisaidia. Ni nani anayeweza kusema niko na kosa? Waadui zangu wote watachakaa kama nguo, nondo watawatafuna.


Muke mwema ni taji la utukufu kwa mume wake. Anayemupatisha mume wake haya ni kama kidonda ndani ya mifupa yake.


Usiniazibu tena; ninamalizika kwa mapigo yako.


Kwa hiyo, kama vile moto unavyoteketeza nyasi, kama vile majani yanavyotoweka ndani ya moto, ndivyo mizizi yao itakavyooza, na maua yao yatakavyopeperushwa juu kama mavumbi. Maana wameacha sheria ya Yawe wa majeshi, wamezarau neno la yule Mutakatifu wa Israeli.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite