15 Waefuraimu wamemuchukiza Yawe sana. Lakini Yawe atawalipiza makosa yao, atawaazibu kwa mambo maovu waliyotenda.