Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Hesabu 9:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

21 Wakati mwingine wingu lilikaa juu ya hema tangu magaribi mpaka asubui tu; na mara tu lilipoinuliwa, hao watu vilevile walifunga safari. Na ikiwa lilikaa juu ya hema muchana kutwa na usiku kucha, wao waliondoka tu wingu lilipoinuliwa.

Gade chapit la Kopi




Hesabu 9:21
4 Referans Kwoze  

lakini wewe kwa rehema zako nyingi haukuwatupilia kule katika jangwa. Nguzo la wingu lililowaongoza muchana, wala nguzo la moto lililowaangazia katika njia usiku, havikuondoka.


Muchana uliwaongoza kwa nguzo la wingu, na usiku uliwaongoza kwa nguzo la moto kwa kuwaangazia njia ya kufuata.


Wakati mwingine wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku chache tu. Kwa agizo la Yawe, Waisraeli walipiga kambi na ni kwa agizo la Yawe walisafiri.


Ikiwa ni siku mbili, mwezi, mwaka au zaidi, muda wote wingu hilo lilipokuwa juu ya hema, Waisraeli hawakuhama; lakini lilipoinuliwa, nao vilevile walihama.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite