6 Kutoka Sukoti, wakapiga kambi yao huko Etamu, kwenye ukingo wa jangwa.
Basi, Waisraeli wakaondoka Sukoti, wakapiga kambi kule Etamu, kwenye ukingo wa jangwa.
Kutoka Etamu, waligeuka na kurudi mpaka Pi-Hahiroti, upande wa mashariki wa Bali-Sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migidoli.