45 Ukoo za Heberi na Malkieli zilitokana na Beria.
Aseri na wana wake: Imuna, Isiwa, Isiwi, Beria na Sera, dada yao. Beria na wana wake: Heberi na Malkieli.
Kabila la Aseri lilikuwa na jamaa za Imuna, Isiwi na Beria.
Aseri alikuwa na binti aliyeitwa Sera.