39 Sufamu na Hufamu.
Wana wa Benjamina walikuwa Bela, Bekeri, Asibeli, Gera, Namani, Ehi, Rosi, Mupimu, Hupimu na Ardi.
Kabila la Benjamina lilikuwa na jamaa za Bela, Asibeli, Ahiramu,
Ukoo za Ardi na Namani, zilitokana na Bela.
Gera, Sefufanu na Huramu.