Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Hesabu 23:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

16 Yawe akakutana na Balamu, akamupa maneno atakayosema, na kumwambia arudi kwa Balaki.

Gade chapit la Kopi




Hesabu 23:16
7 Referans Kwoze  

Yawe akamupa Balamu maneno atakayosema na kumwambia arudi kwa Balaki.


Sasa Balamu akatambua kwamba Yawe alipenda kuwabariki Waisraeli, kwa hiyo hakukwenda sawa vile mara ingine kwa kutafuta uchawi. Akaelekea kwenye jangwa,


Lakini malaika wa Yawe akamwambia Balamu: Kwenda na watu hawa, lakini utasema tu kile nitakachokuambia. Basi, Balamu akaendelea na safari pamoja na viongozi wa Balaki.


Basi, Mungu akamufikia Balamu usiku ule, akamwambia: Kama watu hawa wamekuja kukuita, kwenda pamoja nao, lakini fanya tu kile nitakachokuambia.


Balamu akamwambia Balaki: Baki hapa karibu na sadaka yako ya kuteketezwa kwa moto, nami niende kule ngambo kukutana na Yawe.


Basi, Balamu akarudi, akamukuta Balaki amesimama karibu na sadaka ya kuteketezwa pamoja na wakubwa wote wa Moabu. Balaki akamwuliza: Yawe amekuambia nini?


Nitawachagulia kati ya wandugu zao wenyewe nabii kama wewe, nitatia maneno yangu ndani ya kinywa chake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite