10 Balamu akamujibu Mungu: Balaki mwana wa Sipori amenitumia ujumbe kwamba
Kisha Mungu alimufikia Balamu, akamwuliza: Ni nani hawa wanaokaa nawe?
kuna watu wa taifa fulani waliotoka Misri, nao wameenea kila pahali katika inchi. Ameniomba niende kuwalaani watu hao kusudi pengine ataweza kupigana nao na kuwafukuza.
Kati ya watu hao waliouawa, kulikuwa wafalme watano wa Midiani: Ewi, Rekemu, Suri, Huri na Reba. Vilevile wakamwua Balamu mwana wa Beori.