Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Hesabu 21:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Kutoka kule wakasafiri mpaka Iye-Abarimu, katika jangwa upande wa mashariki wa Moabu.

Gade chapit la Kopi




Hesabu 21:11
4 Referans Kwoze  

Waisraeli wakaendelea na safari yao, wakapiga kambi kule Oboti.


Kutoka kule wakasafiri wakapiga kambi yao katika bonde la Zeredi.


Kutoka Punoni, wakapiga kambi yao Oboti.


Kutoka Oboti, wakapiga kambi yao Iye-Abarimu, katika eneo la Moabu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite