Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Hesabu 2:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

25 Kwa upande wa kaskazini, watapiga kambi katika jeshi lake wale wanaokuwa chini ya bendera ya Dani, kiongozi wao atakuwa Ahiezeri, mwana wa Amishadai,

Gade chapit la Kopi




Hesabu 2:25
7 Referans Kwoze  

Mwisho, wale waliokuwa chini ya bendera ya jeshi lililoongozwa na kabila la Dani, waliokuwa kama walinzi nyuma ya majeshi yote, wakasafiri, kundi moja nyuma ya lingine. Hawa waliongozwa na Ahiezeri mwana wa Amishadai.


jeshi lake kulingana na hesabu litakuwa na watu elfu makumi sita na mbili na mia saba.


Mukubwa wa ukoo wa jamaa za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hawa watapiga kambi yao upande wa kaskazini wa hema takatifu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite