basi, kuhani ataamuru watu walete ndege wawili safi wanaokuwa wazima, kipande cha muti wa mwerezi, sufu ya rangi nyekundu na tawi la hisopo kwa ajili ya yule mutu atakayetakaswa.
Kuhani atatwaa yule ndege mwingine muzima, kipande kile cha mwerezi, sufu ya rangi nyekundu na lile tawi la hisopo na kuvitumbukiza vyote katika damu ya yule ndege aliyechinjwa.