Hata hivi, watu hawa vilevile wanafanana nao; maono yao yanawasukuma kuchafua miili yao na kuzarau mamlaka ya Mungu na kutukana viumbe vitukufu vya mbinguni.
Kisha Kora mwana wa Isihari mwana wa Kohati mwana wa Lawi, akatwaa watu pamoja na watu watatu wa ukoo wa Rubeni: Datani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni mwana wa Peleti.