9 Hapo Yawe akawaka hasira juu yao, akaondoka, akaenda zake.
Nitarudi mahali pangu na kujitenga nao mpaka watambue kosa lao na kunirudilia. Taabu zao zitawafundisha wanitafute.
Watu wakaanza kunungunika mbele ya Yawe juu ya taabu zao. Yawe akasikia, na hasira yake ikawaka. Moto toka kwa Yawe ukawaka kati yao na kuchoma upande mumoja wa kambi.
Basi, Mungu alipomaliza kuongea, akamwacha Abrahamu.
Yawe alipomaliza kuzungumuza na Abrahamu, akajiendea naye Abrahamu akarudi kwake.
Musa akasikia watu wakilia katika jamaa zote, kila mutu kwenye mulango wa hema lake. Basi, hasira ya Yawe ikawaka sana; naye Musa akachukizwa.